Wasanii
Best Nasso kushoto, Hamisi Kibiti ambaye ni Meneja wa Best Nasso na
kulia ni msanii Kigwema kwenye picha ya pamoja wakiwa safarini kuelekea
Lindi kwenye mazishi ya msanii mwenzao.
Mdogo
wa msanii Side akiwa kwenye picha ya pamoja na Best Nasso, Kigwema na
waombolezaji wengine mara baada ya kufika mkoani Lindi.Wakizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu wakiwa njiani kuelekea msibani mkoani Lindi, wasanii hao walisema kuwa watamkumbuka marehemu siku zote kwa kuwa walikuwa marafiki wakubwa ndani na nje ya muziki na kuongeza kuwa ni msanii pekee aliyekuwa akiimba nyimbo zenye meseji zenye kugusa maisha ya watu kwa kujali zaidi ujumbe na siyo soko kama wanamuziki wengine.
“Hakuna neno tutakaloweza kusema kuelezea hisia zetu. daima tutamkumbuka Side Boy kama msanii mwenzetu, rafiki na kaka yetu. RIP”
No comments:
Post a Comment