-Baada ya Jana kupoteza mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) kwa goli moja kwa bila (1-0) dhidi ya Simba SC Klabu ya Al Ahly ya Misri jana usiku ilianza safari ya kurejea nyumbani nchini Misri klabu hiyo ilikuja Tanzania na ndege binafsi.