Thursday, 21 August 2014

FIKRA PEVU FROM DRYJANI

"‪#‎FACEBOOK‬"sasa limekuwa Taifa kubwa sana!wastani unaonyesha kwamba kila siku watu wasio pungua million 1.3 hujiunga kila siku!ambapo laki 3.5 hutokea Barani Afrika.Asilimia 75,kati ya wanaojiunga ni vijana wa miaka 12 hadi 35,Asilimia 20 ni kuanzia miaka 36 hadi 75 na asilimia 5 ni kuanzia miaka 5 hadi 11!!!
Uchunguzi pia unaonyesha kuwa pamoja na kwamba vijana ndiyo wanaongoza kwa kujiunga kwa wingi lakini asilimia 55 kati ya 75 wanaojiunga kila siku hujiunga kwa kufuta mkumbo!na hapo ndipo utaona kuwa wengi wao wanaposti utumbo, na kutafuta mausiano ya kimapenzi na watu wasio wajuwa,ni asilimia 20 tu kati ya vijana wanaojiunga hujiunga kwa maamuzi yao binafsi bila kushawishiwa na mtu.Kati ya hawa 20,asilimia 12 wapo kimaslahi zaidi;wapenda sifa na kujitangaza ili wajulikane! na asilimia 8 tu katika hao 75 ndiyo Mungu huwatumia kuitangaza kazi yake!Jiulize upo ktk kundi gani hapa ndani?tubadilike bana; hata kama ulifuata mkumbo kuingia humu huwezi jua labda ndo njia uliyokuwa umepangiwa ili ufike ubadilikie humu,mie napita natimiza yangu majukumu. "Jah Bless All" Haya<<>n<<>Hay.

No comments:

Post a Comment