Friday, 8 August 2014

MECHI YA WABUNGE: YANGA 3, SIMBA


Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa mabao 3-2. 

 
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia. …
Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu (11) na Yusuf Gogo (3). Yanga: Idrissa Kitwana (7), Ahmed Ngwali (11), Mark Tanda (2).
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia. 
Yanga wakishangilia bao lao.
Mtanange ukiendelea.

No comments:

Post a Comment