Monday, 11 August 2014

ARSENAL BINGWA NGAO YA JAMII

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0.
 
Santi Carzola akishangilia bao lake la kwanza kwa Arsenal.…
Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0.
Santi Carzola akishangilia bao lake la kwanza kwa Arsenal.
Aaron Ramsey akifunga bao la pili kwa Arsenal.
Bao la tatu la Arsenal lililofungwa na Olivier Giroud.

Raha ya ushindi.
KLABU ya Arsenal imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Manchester City mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Wembley jijini London usiku huu. Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Cazorla 21, Ramsey 42 na Giroud 60.

No comments:

Post a Comment