WATU 48 wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo kuanguka katika makazi ya watu jirani na Uwanja wa Ndege wa Mehrabad uliopo magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran leo asubuhi.
Ndege hiyo mali ya kampuni ya Taban Air ilikuwa inaelekea katika Jiji la Tabas.
No comments:
Post a Comment