Wakati wawili hao wakiteka hisia za
mashabiki kutokana na jinsi walivyokamua huku wakicheza shoo, pia
wasanii mbalimbali nao walifanya vitu vyao jukwaani hapo, wachanga kwa
wakongwe wakiwemo Young Killer na Mo music waliokuwa wenyeji.
Wakizidi kuwarusha mashabiki wao.
Wengine waliopata fursa ya kufanya makamuzi ya nguvu ni pamoja na
Yamoto Bendi, Sky Light, Makomandoo, Chege na Temba, Madee, Nay wa
Mitego, Stamina, Young Dee, Mr Blue, Nyandu Toz, Khadija Maumivu, Vanesa
Mdee na baadaye Dogo Janja aliyepanda jukwaani ikiwa ni siku chache
baada ya kutimiza umri wa miaka 18.Karibu mpenzi msomaji kwenye blog hii, ili tuweze kuhabarishana na kubadilishana mawazo juu ya masuala ya MICHEZO SIASA ELIMU, MAISHA na mengineyo ndani na hata nje ya Tanzania. Simu :+255655534913/ +255764547675 Barua pepe :erastotoga@gmail.com
Wednesday, 13 August 2014
LINAH, DIAMOND WAFANYA BALAA MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment