Liverpool inajianda kwa msimu mpya wa ligi ya Uingereza
Mshambulizi wa Liverpool Dejan
Lovren aliifungia the Reds bao lake la kwanza
Daniel Sturridge ndiye aliyeifungua kivuno hicho cha mabao baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Phillippe Coutinho.
Lovren, aliyejiunga na ''the Reds'' akitokea Southampton, katika kandarasi ya pauni milioni 20m alifuma bao la pili kwa kichwa alipotumia vyema kona kutoka kwa Steven Gerrard .
Liverpool inajianda kwa msimu mpya wa ligi ya Uingereza
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers aliwachezesha wachezaji wapya Lovren, Javier Manquillo, Emre Can Rickie Lambert katika mechi hiyo.
Liverpool, itafungua kampeini ya msimu huu dhidi ya Southampton jumapili ijayo.
Kocha Rodgers aliwachezesha wachezaji wapya
Dortmund itafungua kampeini yake dhidi ya Bayer Leverkusen tarehe 23 Agosti.
No comments:
Post a Comment