Sunday, 10 August 2014

TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO

Mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano 'Messi' akijaribu kuwatoka mabeki wa Zesco wakati wa mechi ya kirafiki iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar jana katika Tamasha la Simba Day. Zesco walishinda 3-0.

Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (katikati) akikwaana na mabeki wa Zesco.…
Mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano 'Messi' akijaribu kuwatoka mabeki wa Zesco wakati wa mechi ya kirafiki iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar jana katika Tamasha la Simba Day. Zesco walishinda 3-0.
Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (katikati) akikwaana na mabeki wa Zesco.
Bernard Mapili wa Zesco akishangilia bao kwa sarakasi.
Kikosi cha Simba SC kikiwa na Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic (kulia) pamoja na Rais wao, Evans Aveva (kushoto).
Kikosi cha Zesco.
Mashabiki wa Simba wakifuatlia mechi ya Simba na Zesco jana.

No comments:

Post a Comment