Thursday, 14 August 2014

FAIDA KUU TATU ZA SIGARA

1.Mvuta sigara hazeeki,
2.Mvuta sigara haumwi na mbwa,
3.Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi...

Ufafanuzi.

1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu.
2. Haumwi na mbwa kwa vile Kifua na mapafu yanapooza hulazimika kutembea na bakora.
3. Nyumbani kwake haingii mwizi kwa kuwa inafika sehemu halali anakohoa usiku kucha. Hivyo mwizi anajua yupo macho kumbe kikohozi tu...

No comments:

Post a Comment