Nimejaribu kuangalia tabia walizo nazo watu warefu kwa kulinganisha na tabia za wafupi nikaona tofauti.
Warefu wako hivi.
1. Sio watu wanaopenda show off hasa kwenye mavazi na pesa(wanavaa kawaida tu na wanajiona wako sawa).
2. Sio waongeaji sana(wakimya)
3. Hawapendi kuongozana na watu ambao wameshuka sana kwa kimo.
4. Hawafanyi kazi zinazoonekana ni za chini(angalia hata wapiga debe,wauza maji na karanga ni wafupi)
5. Hawapendi majibizano. pia wengi wao ni wabishi.
6. Wana elements za dharau.

No comments:
Post a Comment