daah!"Nimepitia mengi sana;Wanasema Uzee dawa, siyo siri kwangu ni
Ugongwa! Mr.Richmond alikuja akapita,"Doans" naye akanitia doa alafu
akalala nyasi,nikajua "Epa" hatanitesa aliposepa ndo zaidi nikachekwa!
Babu wa Roliondo akaninywesha vikombe kisha naye akatimka,Mv.spice
Inslander ilipo sarenda kutofika bongo hata presda aligoma kwenda!Katiba
mpya ana mtoto anayeitwa Ukawa,na yeye anadahi urithi na haki
sawa;dah!sijuhi lini tutakuwa sawa!,"tuzifungue Brain zetu ili twende
nao sawa hawa"Dengua alipobisha hodi tu maafa! huyu Ebora akiingia, sisi
akina chini ya dola si ndo tutakoma kulinga,'Ewe mwana siasa msariti
nipigishe tu politics nizidi kulia na tumbo, wewe zichote tu noti,siku
nikiamua kukutoa nduki sitaogopa bunduki,Mmeamkaje jirani zangu
wakenya,waganda Barundi na Rwanda?
Karibu mpenzi msomaji kwenye blog hii, ili tuweze kuhabarishana na kubadilishana mawazo juu ya masuala ya MICHEZO SIASA ELIMU, MAISHA na mengineyo ndani na hata nje ya Tanzania. Simu :+255655534913/ +255764547675 Barua pepe :erastotoga@gmail.com
No comments:
Post a Comment