Friday, 8 August 2014

ALI KIBA APELEKA KILIO BONGO MOVIES


STAA wa Bongo Fleva, Ali Kiba amepeleka kilio kwa mashabiki wa Bongo Movies baada ya kuifungia Bongo Fleva bao pekee katika mechi yao ya Tamasha la Usiku wa Matumaini muda huu Uwanja wa Taifa jijini Dar.


Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…
Mchezaji wa Bongo Fleva, Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'.
Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.
Nyomi ndani ya Uwanja wa Taifa ikifuatilia mechi hiyo.
Kikosi cha Bongo Movies.
Kikosi cha Bongo Fleva.
Bongo Fleva wakisalimiana na Bongo Movies kabla ya mechi.
Bongo Movies kabla ya kuanza mtanange dhidi ya Bongo Fleva.

Bongo Fleva wakisali kabla ya mechi.
Kikosi cha timu ya Bongo Fleva kimeibuka kidedea katika mtanange wao dhidi ya Bongo Movies kwenye Tamasha la Usiku wa Matumanini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mfungaji wa bao pekee la Bongo Fleva ni mwanamuziki Ali Kiba.

No comments:

Post a Comment