Wednesday, 20 August 2014

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI YATOA MCHAKATO KWA KIPINDI CHA 2014/15


Ofisa Habari wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa  Elimu  ya Juu,  Veneranda Malima (kulia) akiwa na  Mkurugenzi Msaidizi wa Habari Elimu na Mawasiliano,  Cosmas Mwaisobwa, na Ofisa Habari wa Idara ya Habari,  Maelezo ,Zamaradi Kawawa, kwenye mkutano na waandishi wa habari..

Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa hiyo.
Cosmas Mwaisobwa, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Sehemu ya mchakato huo.
BODI ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini imetoa taarifa ya mchakato wa maombi ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo  2014/2015.Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi, Habari Elimu na Mawasiliano,  Cosmas Mwaisobwa,  katika Ukumbi wa Habari,  Maelezo,  jijini Dar es Salaam, leo.



IMETOKA GLOBAL PUBLISHER

No comments:

Post a Comment