Tuesday, 19 August 2014

JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA



Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake.

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame amefariki dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

No comments:

Post a Comment