Wednesday, 20 August 2014

FIKRA PEVU FROM DRY JANI

Kwa maana tunajifunza kuwa tunapaswa kuziiga tabia za Mungu wetu,Mungu si mbaguzi,yeye huwaangazia jua lake watu wote,huwaletea mvua wema na wabaya!Magugu na Ngano hayana budi kukua kwa pamoja mpaka pale mvunaji atakapokuja kuvuna mavuno yake mwenyewe;yeye ndo atayatenga magugu na kuchukua ngano iliyo safi!basi niseme tu ya kwamba Mungu awabariki kupita kipimo cha fikra zenu."Na iwe hivyo",Ubarikiwe sana uliye like,uliye coment,uliye share na wewe uliyechat kupitia post zangu!Niliye like status yake na wewe niliye coment status yako na kuchat; pia ubarikiwe,kwa maana nimeyakubali mawazo yako nakuombea kwa Mungu azidi kukupa maarifa!Wewe ambaye sikulike wala kucoment post yako pia ubarikiwe,mwanadamu asipojifunza kwa mabaya;mema yatamfunza. "Siku iwe nzuri kwako"

No comments:

Post a Comment