Thursday, 25 February 2021

 


-Baada ya Jana kupoteza mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) kwa goli moja kwa bila (1-0) dhidi ya Simba SC Klabu ya Al Ahly ya Misri jana usiku ilianza safari ya kurejea nyumbani nchini Misri klabu hiyo ilikuja Tanzania na ndege binafsi.

Sunday, 23 April 2017

Harmorapa: Sijawahi Kuachwa na Mwanamke

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali yeye ndiye huwa anawaacha hivyo hajui suala la maumivu ya mapenzi.

Polisi Waua Majambazi Watatu Walioua Askari Kibiti

RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga.
Jeshi la polisi mkoani Pwani limewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wanaodhaniwa kuhusika na mauaji ya viongozi wa vijiji na vitongoji na askari polisi katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani.

Saturday, 22 April 2017

Gabo Afunguka Kuonja Penzi la Wema Sepetu

Staa wa Bongo Movie, Salim Ahmed ‘Gambo’.
KUFUATIA uwepo wa madai kuwa amelionja penzi la mwigizaji Wema Sepetu, mkali anayekimbiza kwa sasa katika soko la sinema kwa Bongo, Salim Ahmed ‘Gambo’ amebanwa na mwandishi wetu na kufungukia uhusiano wao.

Thursday, 20 April 2017

Nafasi za Kazi

Nafasi za Kazi Leo Aprili 20 2017



Shamsa Ford Yamkuta Mazito Dar

STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford ‘Chausiku’, amepata jeraha la maisha baada ya kupigwa ngumi na jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram
Shamsa Ford ‘Chausiku’.

Watu Kibao Kutekwa 2017, Hatari Zaidi kwa wasanii Wapewa Mwongozo

HALI ni tete! Kutokana na matukio ya utekaji yanayoendelea nchini, hali bado ni mbaya kwani habari zinaeleza kwamba bado matukio hayo yataendelea kwa wingi mwaka huu wa 2017 ili kujua

Ajira Ajira Ajira…

  Ajira ajira ajira .......Nafasi za kazi 300 zimetoka mshahara mnoo sana ni fursa nyingine kwa vijana kuchangamkia nafasi hizo

Tazama Jiwe Kubwa Zaidi Lililopita Karibu na Dunia Jana Jumatano

Tazama jiwe kubwa sana lillilopita karibu na Dunia ambalo lilinaswa na mitambo ya satelite likionekana karibu kabisa na Dunia

Asteroidi kubwa ambayo inakadiriwa kuwa na ukubwa karibu sawa na wa Jiwe la Gibraltar imepita salama karibu na Dunia.

Sunday, 16 April 2017

Waziri Majaliwa Kaagiza Mkurugenzi wa Kampuni ya 4×4 Tanzania Limited Akamatw

Waziri Majaliwa wa kwanza (kulia) akizungumza jambo.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu aliyoiunda ichunguze tuhuma za ubadhirifu kwenye Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) imekamilisha kazi yake na imebaini madudu mengi zaidi.

Kikosi cha Simba dhidi ya Toto African leo



Klabu ya Simba SC kimeweka hadharani kikosi chake cha wanajeshi 11 kitakachokwenda kuvaana na Toto African mchana wa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara

Saturday, 15 April 2017

Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani April 15, 2017

Majeneza yenye miili ya marehemu ya polisi nane waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi, Kibiti, Pwani yakiwa katika Uwanja wa Polisi, Barracks barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga miili ya marehemu.