Saturday, 15 April 2017

Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani April 15, 2017

Majeneza yenye miili ya marehemu ya polisi nane waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi, Kibiti, Pwani yakiwa katika Uwanja wa Polisi, Barracks barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga miili ya marehemu.
Mwigulu Nchemba Akiendelea kuaga.

Shehe akifanya maombi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kushoto) akiwa na Mwigulu (kulia).
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (wa mbele) akitoa pole kwa wafiwa.
RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiaga miili ya marehemu.

Kamanda wa Polisi Temeke Gilles Muroto akiaga.
Wakiendelea kuaga

No comments:

Post a Comment