AN CITY YATHIBITISHA FRANK JAMES LAMPARD KUANZA JALAMBA JUMATANO Kimataifa, Usajili Kimataifa
Aliaga kwa machozi: Tunu ya Chelsea , Frank Lampard atajiunga na Manchester City kwa mkopo.
MANUEL
Pellegrini amethibitisha kuwa Frank Lampard jumatano ijayo ataanza
mazoezi na Manchester City kwenye uwanja wa Carrington na atakuwa
mchezaji muhimu kwenye mechi za ligi kuu na ligi ya mabingwa mpaka
atakapoondoka kwenda Marekani mwezi januari mwakani.
City
wamewasili nyumbani kutoka Marekana leo jumapili baada ya kupoteza
nafasi ya kucheza fainali ya michuano ya kimataifa ya kujiandaa na msimu
kwa mikwaju ya penalti.
Katika siku nne, City wamepoteza mechi mbili kwa penalti.
Baada
ya mechi, Pellegrini kwa mara ya kwanza alizungumzia kumsajili Frank
kwa mkopo na kusema maamuzi ya kumchukua kiungo huyo wa kimataifa wa
England mwenye miaka 36 ni kumfanya awe fiti kabla ya kuanza kuichezea
klabu yake ya New York City mwakani.
Pellegrini alisema: ‘Kuanzia jumatano ijayo ataanza kufanya kazi na timu na atacheza mpaka januari na tutaona baada ya hapo’.
‘Kwa wakati huu atafanya kazi na kikosi na atakuwa mmoja wa wachezaji wa kikosi. Atapambana kusaka nafasi’
‘Anajua
tuna timu nzuri, tuna wachezaji wengi katika nafasi yake na yeye
ameongezeka. Tuna mechi nyingi sana hususani za ligi ya mabingwa,
kwahiyo ni mtu muhimu sana kwa timu’

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=4519#sthash.NoTkMAyV.dpuf

MAN CITY YATHIBITISHA FRANK JAMES LAMPARD KUANZA JALAMBA JUMATANO Kimataifa, Usajili Kimataifa

No comments:
Post a Comment