Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan
(aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya Bunge
Maalum la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu wa Idara wa shughuli za
Bunge John Joel.
Mwakilishi
wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akifurahia jambo akiwa pamoja na
waandishi wa Habari leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini
Dodoma.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
kulia ni Mhe. Stella Manyanya akiwa amefuatana na Mhe. Reuben Matango
wakielekea ndani ya Bunge Singo leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la
Katiba mjini Dodoma.
Mwakilishi
wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe
mwenzie, Mhe. Yusuph Singo leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba
mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment