Kushikana mikono kwa Lil Wayne na Christina Milian kwenye ESPY ukweli huu hapa
Waandishi wa habari walishtuka baadaya kumuona Lil Wanyne na Christina
Milian wkiwa wameshikana mikono kwenye ESPY na kuhisi huenda wakawa na
uhusiano wa kimapenzi
Lakini ukweli ni kuwa, huenda maamuzi hayo yakawa yamefanywa na Wayne
kwa ajli ya kumpromote mwanadada huyo, ambae miezi kadhaa alisaini
mkataba na Young Money Entertainment. plani ya kujiingizia mkwanja.
Watu wa karibu na Wayne wamesema idea ya kumpeleka Milian kwenye ESPY ilikuwa ni kwasababu ya kuamsha amsha mapaparazi tu.
Na huu ni ukweli uhusiano huo hauwezi kuwa wa kweli.
1. Milian ana mtoto wa kile na The Dream
2. Lil Wayne ana mtoto wa kiume na mwanamziki wa R&B Nivea
3. Nivea nae ana mtoto wa kike na mapacha wa kiume na The Dream
No comments:
Post a Comment