Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi
baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za
mazishi zitatolewa baadae. Global Publishers imekuwa ikifuatilia hali ya
msanii huyu na kuwajulisha mashabiki wake mara kwa mara. Mara ya mwisho
kuandika habari zake ilikuwa Februari 21 mwaka huu wakati alipokuwa
amelazwa kwenye hospitali Kilimani maeneo ya Big Brother jijini Dar
chini ya kichwa cha habari MTOTO WA MAGALI HOI KITANDANI.
Global Publishers inatoa pole kwa wafiwa na kumtakia marehemu alale pema- ameen!
No comments:
Post a Comment