GARI ndogo aina ya Toyota Noah lenye namba
za usajili T162 BXM limepata ajali na kuua watu wawili jana eneo la
Igurusi mkoani Mbeya.
Ajali hiyo ilitokea majira ya saa tatu na
nusu asubuhi huko Igurusi kilometa 45 kutoka Mbeya Mjini na kuua dereva
aliyefahamika kwa jina moja la Rashid na mama mmoja ambaye jina lake
halikuweza kufahamika.
No comments:
Post a Comment