Thursday, 4 September 2014

UTACHEKA TU SOMA UONE GENIUS


Dogo mmoja anasoma darasa la tatu.
dogo:mwalimu mimi nataka kusoma
darasa la nne maake hili la tatu
halinifai,nina akili sana
Mwalimu:mmh hebu nikuulize
maswali


Dogo:sawa
Mwalimu:kwenye ndege kuna matofali
20 ukidondosha moja chini yanabaki
mangapi?
Dogo:hili swali rahisi mno,yatabaki 19
Mwalimu:nipe hatua za kumweka
tembo kwenye fridge.
Dogo:unafungua fridge,unamuing iza
tembo kisha unafunga friji
Mwalimu:nipe hatua za kumweka
nyani kwenye fridge
Dogo:unafungua fridge na kumtoa
huyo tembo ulemweka kwanza kisha
unamuingiza nyani
Mwalimu:simba anasherehekea siku
yake ya kuzaliwa,wanyam a wote wapo
kasoro mmoja tu, Ni nani na kwa nn?
Dogo:ni nyani kwa sababu
tumemuweka kwenye fridge.
Mwalimu:bibi kizee amevuka mto
wenye mamba na viboko
wengi,aliwezaje ?
Dogo:amevuka kwa sababu wanyama
wote walikuwa kwenye sherehe ya
siku ya kuzaliwa ya simba
Mwalimu:sawa,in gawa bibi alivuka
mto,mwishowe alifariki,unadh ani kwa
nin?
Dogo:alikufa kwa kudondokewa na
tofali kutokakwenye ndege,kwenye
yale 20 tulopakia na baade
kudondosha moja chini
Mwalimu:huyu dogo akasome chuo
kikuu.

No comments:

Post a Comment