Everton imemsajili mshambulizi nyota kutoka Cameroon Samuel Eto'o kwa mkataba mrefu .
Mshambulizi huyo aliruhusiwa kuondoka Chelsea mwisho wa msimu uliopita.Karibu mpenzi msomaji kwenye blog hii, ili tuweze kuhabarishana na kubadilishana mawazo juu ya masuala ya MICHEZO SIASA ELIMU, MAISHA na mengineyo ndani na hata nje ya Tanzania. Simu :+255655534913/ +255764547675 Barua pepe :erastotoga@gmail.com
Saturday, 30 August 2014
Friday, 29 August 2014
Wanne hatiani kwa jaribio la kumuua Nyamwasa
Wanaume wanne waliokuwa
wameshitakiwa kwa kosa la jaribio la kumuua aliyekuwa jasusi wa Rwanda
Generali Faustin Kayumba Nyamwasa, nchini Afrika Kusini wamepatikana na
hatia ya kosa hilo.
Nyamwasa alipigwa risasi na kujeruhiwa mwezi Juni mwaka 2010 nje ya nyumba yake mjini Johannesburg. .Monday, 25 August 2014
Sunday, 24 August 2014
JUX: KWELI JACK PATRICK ALIKUWA NI MPENZI WANGU!
MALOVEE!
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na
wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ‘Jux’, kwa mara ya kwanza amevunja
ukimya na kufungukia penzi lake na modo anayedaiwa kufungwa nchini
China kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick
Cliff ‘Jack Patrick’.
Jux ambaye anasoma nchini China huku akifanya muziki wa Bongo Fleva, alifunguka hayo juzikati katika ‘exclusive interview’ aliyoifanya na mwanahabari wetu alipokuwa mjini Kahama alipokwenda kwenye Serengeti Fiesta 2014.
Jux ambaye anasoma nchini China huku akifanya muziki wa Bongo Fleva, alifunguka hayo juzikati katika ‘exclusive interview’ aliyoifanya na mwanahabari wetu alipokuwa mjini Kahama alipokwenda kwenye Serengeti Fiesta 2014.
MASHABIKI WAMUUA MCHEZAJI ALGERIA
MCHEZAJI
kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki
waliokereka waliporusha mawe mwisho wa mechi ya Ligi ya Algeria.
Subscribe to:
Posts (Atom)